Posts

Watu 8 waliozama na boti ya uvuvi jana wapatikana wakiwa hai.

Mbowe atishia kuipandisha CCM mahakamani.

Ewura: bei mpya za mafuta kuanza kutumika leo.

Wanne wapigwa faini na kupelekwa chuo cha mafunzo baada ya kuzidi kwenye gari ya abiria.

Simu yamponza binti aliyejirusha baharini.

Kuendelea ukosoaji kuhusu mapatano yaliyofikiwa kati ya Italia na Libya kuhusu wakimbizi.

Maafisa polisi zaidi ya 140 wa Rwanda wawasili nchini Sudan Kusini.

Watoto 336 wameaga dunia Nigeria kutokana na "Meningitis".

Dada mmoja apigwa panga la kichwa na kuporwa simu yake.

Serikali kuweka mazingira wezeshi kutibu maji.

Tunzeni miundombinu ya barabara -Mbarawa.

Takukuru Mara yaburuza wanne kortini.

DC aja juu utunzaji wa mazingira.

Vifo vya ng’ombe vyaleta mtafaruku.

Watumiaji petroli kupumua.

Tanzania kuiga wa Korea.

Jumuiya ya kimataifa yalaani shambulio linaloshukiwa kuwa la gesi ya kemikali nchini Syria.

UN yaikosoa Marekani kuondoa mfuko wa fedha wa kusaidia masuala ya afya ya uzazi duniani.

Japan yaishutumu vikali korea Kaskazini.

Chama cha wafanyikazi chamtaka Zuma kujiuzulu.

Jeshi la Polisi la Mkoa wa Mjini Magharibi latoa ta hadhari kwa wakaazi wa mabondeni.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya April 5.

Boti la uvuvi lazama katika maeneo ya tumbatu.

Matokeo EALA: Wagombea Chadema wakataliwa, Habib Mnyaa apita kwa upande wa CUF.

Dk. Shein: Kamwe karafuu haitobinafsishwa.

TRA yatangaza kukusanya Tsh 10.87 trilioni kuanzia June 2016 mpaka March 2017.

Kauli ya ACT Wazalendo kuhusu Rais Magufuli kumteua Mwanachama wao , Prof. Kitila Mkumbo Kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

Kitila Mkumbo Amshukuru Rais Magufuli Kwa Kumteua Kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji.

EWURA Yatangaza bei Mpya Za Mafuta........ Petroli Yashuka, Diseli Yapanda.

Polisi Dar watumia silaha kuwatawanya wafanyabiashara Mwenge.

Kikwete: Ni zamu ya kumuunga mkono mke wangu.