Posts

Iran yalaani mashambulizi ya anga ya Saudia dhidi ya soko, yaliyoua 70 Yemen.

Russia: Marekani imewapa magaidi kambi zake za kijeshi Syria.

Kuuawa watoto; mhimili wa jinai za Saudi Arabia nchini Yemen.

Gadi ya Pwani nchini Italia yaokoa mamia ya wahajiri katika bahari ya Mediterranea.

Wapalestina 600 wamekamatwa tangu Quds itangazwe 'mji mkuu wa Israel'.

Ansarullah kuishambulia Somaliland ikiendelea kushirikiana na UAE dhidi yake.

Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea.

Taarifa ya serikali kuhusu kuzimwa kwa 'chaneli' za bure kwenye ving'amuzi.

Marekani yawawekea vikwazo wataalamu wa makombora Korea Kaskazini.

NEC yathibitisha mgombea wa Chadema kujitoa kwa Nyalandu.

Mwanamke ashangazwa na bili ya umeme ya dola bilioni 284

Mamba apatikana akirandaranda ndani ya mji wa Melbourne Australia.

Kocha wa united jose mourinho amekiri kuwa wanaitaji kutumia pesa nyingi kwa ajili ya kukiunda upya kikosi chake.

NSAJIGWA kuwapiku mabosi wake dhidi ya mbao fc.

Rasmi kwasi aanza mazoezi na uzi wa simba, aanza na mchanga wa coco beach.

Hakuna kingine anachotaka tambwe ndani ya yanga zaidi ya hiki hapa....

Simba wako kamili, baada ya kesho wataanza safari ya kuwafuata ndanda.

Serikali Yaanza Kuwashughulikia Wasanii Wanaovaa Nusu Uchi.

Habari Ziloizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano ya Disemba 27.