
Mary
Horomanski kutoka Erie, alisema kuwa bili hiyo ilionyesha kuwa
alihitajika kulipa pesa hizo zote ifikapo Novemba mwaka 2018.
Kampuni ya umeme baadaye ilisema kuwa bili sahihi ilikuwa dola 284.46.
Msemaji
wa kampuni alisema kuwa hawakufahamu jinsi hitilafu hiyo ilitokea
ikionyesha kuwa Bi Horomanski alihitajika kulipa $284,460,000,000 huku
akitakiwa kulipa sehemu ya kwanza ya dola 28,176 mwisho wa mwezi huu.
"Sijawi kuona bili ya mabilioni ya pesa," Mark Durbin aliliambia gazeti la Erie Times.
chanzo:Bbc.
Comments