Posts

Rais Magufuli Na Rais Wa Rwanda Paul Kagame Wazindua Rasmi Daraja La Kimataifa La Rusumo Na Kituo Cha Huduma.

Wanao bagua wananchi kufungiwa Pemba.

Wananchi katika vijiji vya Kiuyu mbuyuni pamoja na Maziwang’ombe wametakiwa kuzingatia kanuni za afya.

Nyumba 2 zaungua moto makangale micheweni pemba.

Amani na utulivu ni muhimu katika maisha ya wananchi.

Wakulima wa karafuu pemba wapongezwa.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba ahimiza ukusanyaji wa mapato ya Serikali.

Jeshi la Polisi lapewa siku 7 Liwe Limepeleka Mikataba Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC).

Hatimaye Utumishi Wafafanua Kuhusu Mshahara wa Rais Magufuli na Kikwete.

Mishahara ya vigogo wa Serikali Waliokuwa Wanalipwa Milioni 36 hadi milioni 40 kwa mwezi yaanza kufyekwa.

Dr. Shein: Upinzani haujakidhi vigezo vya kutoa Makamu wa Rais

Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ateketea kwa Moto Akiwa Ndani ya Gari Lake.

Rais wa Zanzibar Dkt. Shein amteua Hamadi Rashid kuwa mjumbe wa Baraza la wawakilishi.