Posts

NEC yatangaza nafasi ya ubunge Viti maalumu Chadema.

Serikali yaahidi mema fedha za miradi.

Msambatavangu aachiwa kwa dhamana.

Wananchi wa Shehia ya nyamanzi waiyomba Serikali kuimarisha ulinzi katika maeneo yao.

SMZ yasubiri kuyapokea rasimu ya sera ya habari zanzibar.

Wazee wa Chama Cha Mapinduzi wampongeza Dr. Shein.

Madaktari feki watiwa mbaroni wakitoa mafunzo Bukombe.

Jela kwa kukutwa na bastola.

Shahidi akwamisha kesi ya Scorpion.

Maxmalipo yazindua bodi ya wakurugenzi.

Mpango wa uzalishaji sukari waonyesha mafanikio.

NHC yapata mwarobaini wa nyumba zinazochelewa kuuzwa.

Ndege za kuangusha mabomu za Marekani zapaa Korea.

Mtambo wa Marekani kuzuia makombora ya Korea Kaskazini waanza kazi.

Donald Trump: Ningependa kukutana na Kim Jong-un.

Huenda Duterte asikubali mwaliko wa Trump.

Maalim Seif aendelea na ziara yake Dar es Salaam.

Mbowe, Halima Mdee walikosea Bunge.

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar kuimarisha Uvuvi wa Pweza Pemba.

Video: Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo May 2, 2017.

Mtoto wa miaka 13 ajinyonga kwa kutumia pazia.

Halmashauri ya Msalala, Ushetu kuanza zoezi la kuua Fisi.

Tundu Lissu: Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (Tucta) ndo ADAUI Namba Moja wa Wafanyakazi.

Zitto Kabwe: Serikali Idhibiti Mfumuko wa Bei Kupunguza Ugumu wa Maisha kwa Wafanyakazi.

Mbunge Alalamika Baada ya Kutimuliwa na Kuzuiwa Kuingia IKULU Katika Kikao cha Rais.

TANESCO: Ni Marufuku Kumtoza Fedha Mteja anayetaka Kubadilishiwa Tarifu kutoka juu kwenda chini.

Waziri Lukuvi Atishia Kumpasua KITAMBI Mkurugenzi.

Rais Magufuli Atangaza Kiama Kwa Waliodanganya UMRI wao.

TUCTA yataka Serikali kuharakisha fao la kujitoa.

Serikali Yatangaza Nyongeza ya Mishahara......JPM Atangaza Ajira 52, 000 Kuziba Pengo.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya May 2.

Dkt Shein: kuongezwa mishahara ya wafanyakazi isiwe sababu wafanyabiashara kuongeza bei.

CCM waandamana mbele ya Maguful.

Magari yazuiwa maandamano Mei Mosi.