Kampuni ya Maxcom-Maxmalipo leo (Jumanne) imezindua bodi mpya ya wakurugenzi wa kampuni hiyo itakayofanya kazi kwa miaka mitano.
Mwenyekiti wa bodi hiyo, Profesa Samwel Wangwe amesema kuwa bodi itakuwa na wajumbe nane.
Profesa Wange amewataja baadhi ya wajumbe hao kuwa ni Mhandisi Juma Rajabu, Dk Donath Olomi, Mhandisi Hashim Lema,Mhandisi Jameson Kasati na Lucy Kanza .
Comments