Posts

Trump: Wakimbizi wa Syria hawaruhusiwi Marekani.

Serikali na upinzani kugawana mamlaka DR Congo.

Mkuu wa magareza akamatwa akitoroka Gambia.

Trump kuteua jaji anayepinga uavyaji mimba.

Guterres: Mitazamo inayowabagua Waislamu inahuzunisha sana.

Algeria yayataka madola ya kigeni yasiingilie masuala ya ndani ya Libya.

UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya katika kanda ya Ziwa Chad.

Kenya: Tulitibua shambulio la al-Shabab.

Waziri Mkuu amtwisha mzigo Ole Sendeka Kuhusu mapato na matumizi ya Mamlaka ya Maji ya Mji wa Njombe.

Mume na mmiliki wa Famasi Watiwa mbaroni Kwa Kusababisha Kifo cha mjamzito.

Mwanafunzi Chuo cha Ardhi kizimbani kwa Kuchapisha ujumbe wa Uongo WhatsApp Kuhusu Godbless Lema.

Kasi ya uokoaji watu 14 waliofukiwa mgodini yazidi kupamba moto.

Wanajeshi Waua Kondakta Kwa Kipigo Tanga.

Rais Magufuli amjibu Mkuu wa Wilaya aliyeomba kujiuzulu.

Polisi Kanda Maalumu Ya Dar es Salaam yaua majambaz Wawili na Kukamata Wauza Shisha.

CCM Kuazimisha miaka 40 Februry 5, Shamra shamra zaanza rasmi.

Ripoti ya CAG yatesa wabunge.

Mradi mkubwa wazinduliwa Handeni kukomesha ukeketaji.

Wakutana Roma kujadili ukeketaji.

Samia aishukuru India kufadhili miradi ya maji.

Waandishi wapotosha mkutano wa Tanzania, Malawi.