Posts

Hali ya wahamiaji wa Kiafrika kuchunguzwa katika kikao cha Italia na Afrika

Madaktari wasio na mipaka wasimamisha kazi zao Jamhuri ya Afrika ya Kati.

Tunisia yatenga dola bilioni nne kwa ajili ya kupambana na ugaidi.

Ansaruddin watangaza kuhusika katika shabulio dhidi ya askari wa kimataifa Mali.

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda akamatwa kwa tuhuma za uhaini.

Alama za EAC kutumiwa na wanachama wote.

Mabaki ya ndege ya EgyptAir yapatikana.

Walioua watu msikitini Mwanza wasakwa.

Bodi mpya ya mishahara kuanza Agosti.

Sababu za mzabuni kutolipwa fedha zote zatajwa.

Taasisi zatakiwa kuanza kutumia alama za EAC.

Ujenzi reli ya kisasa kuanza.

Zanzibar Yaadhimisha Siku ya Makumbusho Duniani May18.

Askari wa Usalama Barabarani, Ally Kinyogoli Auawa kwa Kupigwa Risasi.

Castiko asikitishwa na vifo vya watoto wawili Tomondo Uzi.

Serikali Yajibu Hoja za Kivuko cha MV Dar es Salaam na Uuzwaji wa Nyumba Zake.

Kigogo wa CCM Ataka Maalim Seif Sharif Hamad Akamatwe.

Kessy Amvaa John Mnyika......Asema Hapaswi Kumfananisha Profesa Muhongo na Edward Lowassa.

Sakata la Escrow na IPTL Laibuka Upya Bungeni.