Posts

Eman Ahmed: Mwanamke mwenye kilo 500 kutoka Misri apelekwa India.

Mume mzinifu ashtaki Uber.

Amuua mfanyakazi akidhani ni ngiri Afrika Kusini.

Maharusi waliotumia dola pekee waandaliwa harusi ya kifahari Kenya.

Uhamiaji yamasaka Manji kwa kuajiri wafanyakazi 25 toka nje ya nchi wasiokuwa na vibali.

Watoto na watu wazima ndio walichangia zaidi kusambaa kwa Ebola.

Mshauri wa Donald Trump kuhusu usalama Michael Flynn ajiuzulu.

Vikwazo kwa Makamu wa Rais Venezuela.

Donald Trump asema Korea Kaskazini ni tatizo kubwa mno.

Trump afanya mazungumzo ya simu na Buhari, Zuma.

Watanzania 58 wanyang’anywa mali zao na kutimuliwa Msumbiji.

Mke na mume jela miaka 20 kwa kukamatwa na meno ya Tembo.

Zitto atinga mahakamani kumsapoti Tundu Lissu.

Ulinzi waimarishwa Taasisi ya Moyo Muhimbili Ambako Yusuf Manji amelazwa.

Makonda amkumbusha Spika kuwapima wabunge kilevi.

Mama Akataa dhamana ili akae rumande na hausigeli wake.

Dr Shein atembelea jengo la ZEC.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya February 14.