Zitto atinga mahakamani kumsapoti Tundu Lissu.

Mbunge wa jimbo la Kigoma Kaskazini (CHADEMA) Zitto Kabwe aingia mahakama ya hakimu mkazi  Kisutu leo ili kumsapoti Mbunge mwenziwe wa jimbo la Singida mjini, Tundu Lissu katika kesi inayomkabili.
Leo mbunge huyo wa Singida Mjini Tundu Lissu pamoja na Wahariri wa Gazeti la Mawio,
Jabir Idrisa na Simon Mkina wanaendelea na kesi inayowakabili na wanatakiwa kujibu mashtaka yao mahakamani hapo.
chanzo:zanzibar24.

Comments