Posts

Rais Dkt. Shein amevitaka vyombo vya habari kutoa matukio na maendeleo ya Serikali ili jamii iendelee kujenga imani na Serikali yao.

Mahakama Kuu Yamwamuru Msajili wa Vyama vya Siasa kutotoa ruzuku kwa Prof. Lipumba na kundi lake mpaka shauri litakapoamuliw.

Kabudi aanza na Katiba mpya.

Madaktari 2 kortini kwa kuomba rushwa wagonjwa.

Watoto milioni 1 wapata vyeti vya kuzaliwa Rita.

Bajeti wizara ya Katiba na Sheria yapungua.

UVCCM yavishukia vyama vya upinzani Kwa Ubinafsi na Udikteta.

Zitto Kabwe, CHADEMA Watofautiana Tena.

Meneja wa Diamond Platinumz, Babu Tale na Erick Shigongo Ndani ya Bifu Zito.

Rais Magufuli na Waziri Mkuu wa Ethiopia wakubaliana kukuza zaidi uhusiano na Ushirikiano wa kiuchumi.

Ufafanuzi Juu Ya “Uzushi” Ulioenea Kwenye Mitandao Ya Kijamii Kuhusu Kufukuzwa Nchini Raia Wa Kenya, Wilayani Longido, Mkoa Wa Arusha.

Kauli ya Mbunge Lijuakali Baada ya Kuachiwa Huru na Mahakama.

Habari Zilizopo Katia Magazeti ya Leo Jumamosi ya April 1.

Tanzania: Magufuli hajaagiza Wakenya wafukuzwe Namanga.

Makamu wa rais Afrika Kusini akosoa kufutwa kazi waziri wa fedha.

Madaktari kutoka Tanzania wapigwa stop Nchini kenya.