
Mpaka sasa takribani watanzania 400 wenye taaluma ya Utabibu wameomba
kazi hiyo kufuatia mgomo wa madaktari ulioikumba Nchi hiyo.
Rais Magufuli alikubali ombi la kupeleka Madaktari 500 ili kupunguza
uhaba wa Madaktari nchini Kenya kutokana na mgomo unaoendelea nchini
humo.
chanzo:zanzibar24.
Comments