Posts

Dk Asha Rose Migiro: Hakuna mtanzania aliyeathirika katika shambulio la Manchester nchini Uingereza.

Wawakilishi washauri kuongezwa fedha kitengo kinachoshughulikia kesi za udhalilishaji.

Wizara ya fedha kuwachukulia hatua watakaohusika na ubadhirifu wa fedha katika Wizara hiyo.

Jela miaka miwili kwa kumdhalilisha mtoto wa miaka minne.

Yussuf Manji Ajiuzulu Uenyekiti Club ya Yanga.

Wanafunzi wengine watatu wapoteza maisha leo Geita Baada ya Mtumbwi Wao Kuzama.

Wavuvi 7 wanusurika kufa baada ya ngalawa yao kuzama.

Afariki Dunia kwa kuzama ndani ya bwawa la maji – Kandwi.

Aliyenusurika kufa Kibonde Mzungu aelea tukio lilivyotokea.

Binti wa miaka 15 abakwa na vijana wanne Jijini Mwanza.

Mmoja afariki na mwengine anusurika kufa baada ya kuzama eneo la Kibonde Mzungu.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya May 23.

Rais Dkt. Magufuli afanya uteuzi wa Naibu Kamishna Mkuu TRA.

Zanzibar ina wafanyakazi 1026 wa kigeni.

Waumini wa kiislam Zanzibar wametakiwa kuzidisha umoja.

Watu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza.

Aliyekuwa rais wa Korea Kusini afikishwa mahakamani kuanza kesi.

Wanaume waliofumaniwa wakifanya mapenzi Indonesia kuchapwa viboko leo.