
Kaimu kamanda wa Polisi ambae pia ni mkuu wa wa upelelezi wa Mkoa wa
Kaskazini Unguja Suleiman Hassan Suleima Amemtaja Marehemu huyo kuwa ni
Foum Eme Khamis (23) Mkaazi wa Kandwi Mkoa wa kaskazini Unguja.
Kaimu kamanda huyo ametoa wito kwa jamii kuwa makini na kuchukua tahadhari wakati wanapokoga maji ya aina kama hiyo.
Mwili wa marehemu huyo umefanyiwa uchunguzi katika hospitali ya Kivunge na kukabidhiwa jamaa zake kwa mazishi.
chanzo:zanzibar24.
Comments