
Uteuzi wa Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru umeanza leo tarehe 22 Mei, 2017.
Kabla ya uteuzi huo Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru alikuwa Kamishna wa Sera, Wizara ya Fedha na Mipango.
Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru anachukua nafasi iliyoachwa
wazi na Bw. Charles Edward Kichere ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa
Kamishna Mkuu wa TRA.

chanzo:zanzibar24.
Comments