
Wakati akimsaidia kumuokoa ndipo inasadikiwa aliteleza na kupelekea
maji kumzidi na kumsukuma na hadi anaokolewa alikuwa tayari ameshafariki
dunia.
Ni siku 10 tu zimepita tangu limetokea tukio kama hilo katika eneo
hilo la Fuoni Kibonde Mzungu ambapo May 12 Askari polisi Abasi Anasi
alipoteza maisha yake hapohapo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
chanzo:zanzibar24.
Comments