
Akijibu Swali katika kikao cha Baraza la Wawakilishi huko Chukwani
Nnje kidogo ya mji wa Zanzibar Warizi wa Fedha na Mipango Dk.Khalid
Salum amesema ni kweli kulitokea ubadhirifu wa Fedha katika wizara yake
lakini tayari hatua za awali zishaanza kuchukuliwa.
Aidha amesema kwa wafanya kazi watakaobainika kushiriki katika
ubadhirifu huo watachukuliwa hatua za kinidhamu kutokana na makosa
walioyafanya.
Udhadhirifu huo ulitokea katika Wizara ya Fedha umesababisha hasara ya Shillingi Billioni 1.1.
chanzo: Zanzibar24.
Comments