Posts

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya June 17.

Wazazi na walezi watakiwa kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya vilivyo karibu nao ili kupatiwa matone ya vitamen A, vidonge vya minyoo pamoja na kupima afya.

Jeshi la polisi mkoa wa kusini Pemba lasema kifo cha aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya Laurent Intanational School iliyopo Ole Kianga hakikutokana na kupigwa na mwalimu kama inavyodaiwa.