Posts

Waziri Mkuu apiga marufuku Madiwani kupewa fedha za maendeleo mikononi.

Waziri Mkuu aagiza akiba ya mahindi itunzwe hadi msimu ujao wa Mavuno........ RC, Ma-DC, Ma-DED waagizwa kuelimisha umma utunzaji wa chakula.

Balozi Seif: Acheni kukumbatia wakandarasi kutoka nje.

Huawei yaikabidhi SUZA milioni 65.

Waganga wa kienyeji wagomewa vibali Geita.

Kafulila kupokea kadi ya Chadema jimboni Kwake Mwezi Huu.

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Humprey Polepole atangaza neema kwa Wanafunzi waliokosa mikopo.

TANESCO Hapakaliki.....Wakurugenzi Wengine Watatu Watumbuliwa.

Waziri Mkuu aonya ujenzi holela Manispaa Kigamboni.

Jeshi la Polisi Laua Majambazi Watatu Dar es Salaam.

Aua mke na mtoto kwa kuambiwa ana `mchepuko’.

Mvua ya dakika 30 yaua mtoto, yabomoa nyumba 20.

Hospitali Dar zahitaji madaktari wa mifupa.

Wasichana 300 wakimbia kukeketwa.

Dk, Anna senkoro afariki Dunia.

Dk. Shein atoa wiki moja kukomeshwa hila Bandarini.

Mkuu Wa Jeshi La Polisi Nchini, Igp Ernest Mangu Atuma Timu Ya Maofisa Wa Jeshi La Polisi Kwenda Zanzibar Kuchunguza Vitendo Vya Udhalilishaji.