Waganga wa kienyeji wagomewa vibali Geita.

Mkuu wa Wilaya ya Geita asitisha vibali vya waganga wa jadi hadi pale watakapoomba vibali upya na kufanyiwa mchujo kuanzia ngazi ya kijiji hadi ya Mkoa.

Hatua hiyo imetokana na kukithiri kwa mauaji ya mara kwa mara yanayohusishwa na imani za kishirikina, kama kuchinjwa walinzi, mauaji ya vikongwe ni matokeo ya waganga wa jadi.

Sambambana agizo la kusitishwa kwa vibali pia Mkuu wa Wilaya ametoa agizo la kufungwa kwa majumba ya starehe yasiyo na vibali vyakukesha ifikapo saa sita kamili usiku.

chanzo: zanzibar24.

Comments