Dk, Anna senkoro afariki Dunia.

Aliyekuwa mgombea urais katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 kupitia tiketi ya chama cha PPT-Maendeleo, Dk Anna Claudia Senkoro amefariki dunia asubuhi ya leo.

Dk. Anna Senkoro ndie mwanamke wa kwanza kagtika historia ya Tanzania kugombea Urais na alipata kura 18,783.

Dk. Senkoro aliugua ghafla usiku wa kuamkia leo na amefariki baada ya kufikishwa hospitali.
chanzo: zanzibar24.

Comments