Posts

Ndege hizo kwa jina Air Tractor zitaigharimu Kenya £418m.

Mwanamke aliychaguliwa ana zaidi ya miaka 65 inyohitajika.

Donald Trump kawafuta kazi Mabalozi wote wa Marekani duniani.

Mtoto achomwa moto akidaiwa kuiba 10,000/-.

Polisi yawasaka waliompiga mikwaju Catherina.

WAZAZI wa watoto wanaoishi nyumba za maendeleo Pemba watakiwa kuwakanya watoto wao.

Trump afuta ufadhili kwa mashirika ya utoaji mimba.

Maalim Seif: Nimeshamalizana na Jecha.

7 mbaroni kwa tuhuma za kuiba mil 405/- za saccos.

Makamu wa Rais Benki ya Dunia kuingia leo.

Kamati yaipa maagizo serikali wadaiwa sugu wa maji.

Uchomaji mkaa unabadilisha nchi kuwa jangwa -Makamba.

Ushindi wa CCM wampa jeuri Magufuli.

Kairuki amfuata Mwakyembe Dodoma.

Marekani yajitoa Ushirikiano wa biashara na Pasifiki.

Watoto wachanga watumiwa na Boko Haram, kushambulia.

Mshindi wa Ubunge Dimani aahidi kuwa daraja.

Wanasiasa wanaoeneza taarifa za uongo kuhusu njaa kukamatwa.

Kauli ya Rais Magufuli Baada Ya CCM Kushinda Kwa Kishindo Uchaguzi Mdogo wa Marudio.

TCRA yatahadharisha Utapeli kupitia simu za mikononi.

Mtatiro aeleza sababu ya upinzani ‘kuangukia pua’ uchaguzi mdogo.