Posts

Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne May 3, 2017.

Jenerali Dehqan: Tuna uwezo wa kuuza nje makombora na kuongeza kiwango cha uundaji silaha kwa asilimia 100.

Watoto milioni 1.4 wanakabiliwa na utapiamlo wa kiwango cha juu Somalia.

Raia 45 wauawa katika mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati.

UN yampongeza Muntari kwa kukosoa ubaguzi wa rangi uwanjani.

Maandamano yaendelea Venezuela.

Trump na Putin wajadili namna ya kupunguza migogoro duniani.

Mexico: Kiongozi wa Saniola kundi maarufu liuzalo dawa za kulevya akamatwa.

Museveni: Huenda nimekuwa ''dikteta'' mzuri.

Watumishi watakiwa kuacha wizi mali ya umma.

CCM Kibaigwa wapongezwa kwa ajira.