Posts

Mkutano wa Nape wazuiwa Protea.

Nape: Sijakamatwa na Polisi....Nipo Protea.

HAJA imewaasa wanafunzi kua makini pia kujiepusha na matendo maovu.

Maelfu wahamishwa kufuatia mlipuko kwenye ghala la silaha Ukrain.

Bunge lataka maji Dodoma yapatikane kwa saa 24.

Kamati ya Bunge yatilia shaka ujenzi DIT.

Bodi yataka dola kusimamia sheria ya ujenzi.

Waagiza matumizi Kituo Mahiri cha Kutunzia Kumbukumbu.

Masauni ataka ushirikiano kunasa wahalifu.

CCM wafikia 300 ubunge Afrika Mashariki.

Ndugu wawili wajeruhiwa na chui wakimuokoa ndama.

Majaliwa aonya mihadarati kwa wanaoishi ughaibuni.

Kauli ya Zitto Kabwe na Hussein Bashe Baada ya Rais Magufuli Kumtumbua Nape.

Kauli ya Nape Nnauye Baada ya Rais Magufuli Kutengua Uteuzi Wake.

Breaking News: Rais Magufuli Katengua Uteuzi wa Wazir Nape Nnauye.

Jumuiya za kimataifa: Yemen inaelekea kwenye maafa makubwa zaidi duniani.

Msalaba Mwekundu: Dunia ina miezi 3 kunusuru mamilioni wanaokabiliwa na njaa Somalia, Yemen.

Kipindupindu chatishia maisha ya watu Zambia, shule zafungwa kwa kuhofia maambukizi.

Habari Zilizopo Kaika Mgzeti ya Leo Alhamis ya March 23.

Waziri Nape apokea Ripoti ya kamati ya uchunguzi wa tukio la RC Makonda Kuvamia Kituo cha Clouds Media.

TRA yakanusha kuidai Clouds Media.

Nyoka apatikana kwenye ndege Marekani.

Marekani:kupambana na IS ni lengo letu la kwanza.

Polisi:shambulio la London ni la kigaidi.

Jeshi la Polisi Zanzibar imewakamata wasambazaji 200 wa dawa za kulevya.