TRA yakanusha kuidai Clouds Media.

Kuna Taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kwamba Mamlaka ya Mapato Tanzania – TRA imeipelekea notisi ya malimbikizo ya kodi takribani shilingi milioni 700 kampuni ya Clouds Media Group; Mamlaka ya Mapato nchini inawaomba Watanzania wote kupuuza na kutoziamini taarifa hizo kwani ni za uzushi na hazina ukweli wowote.


 
chanzo: zanzibar24.

Comments