
Akiwa njian kuelekea Protea, silisambaa habari kwamba amekatwa. Taarifa hizo amezikanusha kupitia mtandao wa twitter na kudai yuko salama.
chanzo:Mpekuziblog.
Wanasambaza nimekamatwa! Niko njiani nakwenda Protea, niko salama nimetoka Arusha na ndege mchana huu! Nashauri waache UONGO, WATULIE!
Tukutane saa nane kamili Protea Hotel karibu na St. Peter ntakutana na Wanahabari. Karibuni sana!
Comments