
Mnamo tarehe 20/02 mwaka jana majira ya saa 9 mchana huko mtopepo
mshtakiwa huyo alimvua nguo za ndani mtoto huyo na kumfanyia vitendo vya
kumkashifu jambo ambalo ni kosa kisheria.
Sambamba na hukumu hiyo pia mahakama ilimtaka mshtakiwa huyo kulipa
fidia ya shilingi laki 5 ili iwe fundisho kwake na wengine wenye tabia
kama hiyo.
chanzo: zanzibar24.
Comments