Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge imemtia hatiani Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB) Freeman Mbowe kwa kudharau mamlaka ya spika.
Kosa ambalo liliwahi kufanywa na Mh. Halima Mdee na kutiwa hatiani na kamati hiyo kwa kufanya kosa kama hilo.
Kwa kuwa Mbowe ni kosa la kwanza, aliitikia wito bila usumbufu na aliomba radhi, Bunge limeazimia kumsamehe.
Kwa upande wa Mdee, kamati imependekeza azuiwe kuhudhuria vikao vyote vilivyobaki bunge la bajeti.
chanzo:zanzibar24.
Comments