
Wagombea sita kati ya hao wanatoka Chama cha mapinduzi (CCM) na mmoja Chama cha wananchi CUF huku wagombea wawili wa CHADEMA wakikosa sifa baada ya kupigiwa kura nyingi za HAPANA.
1. Fancy Nkuhi
2. Happiness Legiko
3. Maryam Ussi Yahya
4. Dkt Abdullah Makame
5. Dkt Ngwaru Maghembe
6. Alhaj Adam Kimbisa
7.Habib Mnyaa (CUF)
chanzo:zanzibar24.
Comments