
Antonio Guterres amesema kupoteza pesa hizo takriban dola
milioni thelathini na mbili mwaka huu pekee, kunaweza kuleta madhara
makubwa kwa afya za wanawake na watoto wanaohitaji msaada.
Wizara
ya mambo ya nje imesema inasitisha uchangiaji kwenye mfuko huo kwa
sababu shirika hio linaunga mkono programu ya china ya utoaji mimba.
Taasisi
hiyo ya umoja wa mataifa imesema haiungi mkono wala kusaidia vitendo
vya utoaji mimba, pia haijavunja sheria yeyote ya Marekani.
chanzo:Bbc.
Comments