Japan imeijibu vikali Korea Kaskazini kufuatia nchi hiyo kufyatua
kombora jingine hivi karibuni na kutaja hilo ni tatizo kubwa
lililopindukia.
Katika Mji wa Pyongyang,Kombora lenye uzito wa kati lilirushwa upande
wa mashariki mwa bandari ya Sinpo kuelekea bahari ya Japan.
Waziri
kiongozi wa nchi hiyo ,Yoshihide Suga amewaambia waandishi wa habari
kuwa nchi yake haiwezi stahimili vitendo hivyo vya uchochezi ambavyo
Korea kaskazini imevirudia kuvifanya.
Kombora hilo limerushwa siku chache kabla ya rais wa China, Xi Jinping
kufanya ziara nchini Marekani kukutana na rais Trump ili kujadili namna
ya kudhibiti mipango ya Nuklia na makombora ya masafa marefu ya Korea
kaskazini. .
chanzo:Bbc.
Comments