
Akizungumza wakati wa
kumkaribisha Makamo wa pili wa Rais Mhe. Balozi Seif Ali Iddi kwa niaba
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Ali Muhammed
Shein, katika Mahafali ya 16 ya Chuo hicho kibele Mkoa wa Kusini
Unguja, Mh Riziki amesema hali hiyo pia itasaidia kukikuza kiswahili na kuzidi kutambulikana kimataifa.
Aidha Mhe, Riziki amewapongeza wanafunzi waliohitimu masomo yao pamoja
na chuo hicho kwa kutoa nafasi za masomo ya Elimu ya juu kwa wingi,
(scholarship), huku akiwataka kuongeza idadi kubwa zaidi ya nafasi hizo
ili wanafunzi waweze kujiendeleza na kupata idadi kubwa ya wataalamu
hapa nchini.


Comments