
Ndege hiyo itawasili leo majira ya saa 8:30
mchana na kupokelewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli.
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria ambaye pia anahudumia nchini Ghana
Mhe. Muhidin Mboweto amesema ndege hiyo imetua salama Mjini Accra Ghana
na kuwa gumzo kwa kila aliyeiona ikiwa uwanja wa ndege.
Comments