NECTA: Wanafunzi waliojitokeza kufanya mitihani ni zaidi ya tuliotarajia.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limesema idadi ya wanafunzi waliojitokeza kurudia mtihani wa darasa la saba kwa tarehe 8 na 9 mwezi huu ni zaidi ya idadi iliyotarajiwa na baraza hilo na usimamizi wa sasa uliimarishwa zaidi.
==>>Msikilize Katibu mkuu NECTA akiongea hapo chini
Comments