Rais Dkt. John Magufuli Atimiza Ahadi Aliyoitoa Jwtz Kwa Ajili Ya Ufugaji Wa Samaki Mkoani Mara.

Katibu wa Rais Ndg. Ngusa Samike akikabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kw aajili ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.

Makabidhiano hayo yalifanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Septemba 11,2018.

Mpekuzi.

Comments