Diwani
wa kata ya Nkoanekoli katika Halmashauri ya Meru wilayani Arumeru
kupitia (Chadema), Ndg. Wilson Nanyaro ameandika barua ya kujiuzulu
udiwani na kujiunga na chama a Mapinduzi CCM kwa maelezo kwamba
anamuunga mkono Rais John Magufuli.
Nanyaro ni diwani wa kumi na moja katika Halmashauri ya Meru kujiuzulu kwa kwa kipindi hiki kwa kumuunga mkono Rais Magufuli.
Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo, Ndg. Emanuel Mkongo amethibitisha kupata taarifa za kujiuzulu kwa Nanyaro.

Mpekuzi.
Comments