Bei ya Petroli na Dizeli zashuka kwa baadhi ya mikoa, ufafanuzi watolewa.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za maji na nishati (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta katika baadhi ya mikoa huku mikoa mingine bei ikisalia kuwa juu.
Comments