Watu
wawili akiwamo Mfanyabiashara wa mjini Moshi, Oscar Kigumu,
wamefikishwa kortini jana Agosti 14, 2018 wilayanj Hai kwa tuhuma za
ubadhirifu wa Sh27.6 milioni za uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
Mfanyabiashara
huyo anayemiliki kampuni ya Oscar Food and Beverage Catering Services,
ameshitakiwa pamoja na mkuu wa kitengo cha uchaguzi wa Halmashauri ya
Hai, Edward Ntakiliho.
Mpekuzi.
Comments