Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Monduli ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Monduli
Mjini, Isack Joseph amejiuzulu nafasi hiyo, kujivua uanachama na
kukihama chama hicho kisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Isack
na viongozi wengine zaidi ya 31 wa ngazi ya Wilaya na Kata wamejiunga
na CCM jana Agosti 11, 2018 ikiwa ni wiki chache baada ya aliyekuwa
mbunge wa Jimbo la Monduli, Kalanga kuhamia CCM. Viongozi hao
wamepokelewa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru.
Mpekuzi.
Comments