Chama
Cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa
Ubunge na madiwani katika Kata mbalimbali uliofanyika hapo jana.
Katika
uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Buyungu lililopo mkoani Kigoma,
mgombea ubunge kupitia tiketi CCM, Christopher Chiza ametangazwa kuwa
mshindi wa jimbo hilo.
Mpekuzi.
Comments