Ni
siku mbili zimepita toka taarifa za kifo cha mtoto wa Muna Love
anayejulikana kwa jina la Patrick afariki dunia akiwa Nairobi nchini
Kenya akipatiwa matibabu ambaye alifariki July 3,2018.
Baade
taarifa zilienea kuhusiana na Peter Zacharia Komu aliyejitokeza na
kudai ni baba mzazi wa Marehemu Patrick na kutaka msiba ufanyike
nyumbani kwakwe Mwananyamala huku taarifa nyingine zikidai baba wa mtoto
ni mtangazaji wa Clouds Tv Casto Dickson.
Kupitia
instagram account ya Munalove amefunguka kuhusiana na mvutano ambao
umekuwa ukiendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na baba mzazi wa
marehemu Patrick.
“Jaman
jamani ππππππ naomba nimzike mtoto wangu ππππ vaeni viatu
vyangu. Kuna siri kumbwa amjawahi kuijua nawaomba nimzike mtoto wangu
alafu ndiyo mnitukane. Mimi ππππππ naumia jamani, namuheshimu
Peter siwezi kuweka kitu hapa maana nitamwaibisha….
"Siwezi kumsema Casto maana yeye anajua wapi alikosea, nawaombeni jamani, naomba nataka kumzika mwanangu. Miaka miwili nahangaika na Paty wangu ππππππππ, nimalize kumzika niongee.
"Nyie wanawake mnaonihumuku, vaeni viatu vya siri nilizohifadhi… baba wa mtoto ni Casto, inatosha ππππππππ, nitukaneni mimi nife ila Paty ni kiongozi alieniongoza nione maisha mapya na nimjue Mungu… Nitalia milele mimi.
"Paty wanguππππππππleo wanakugombania mwaanangu, natamani urudi mara mojaππππππππππ… Mwanangu ntaleta ijumaa na ntamzika Jumamosiπππππ, msiba uko kwangu Mbezi Beach.” amesema Muna.

Comments