Julius
Kalanga aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Monduli kupitia Chadema amejiuzulu
nafasi zake zote ikiwemo Ubunge na kuhamia CCM usiku wa kuamkia leo.
Katika
sababu mojawapo ya kujiuzulu aliyoieleza,amesema ni Kuunga mkono juhudi
kubwa za kuleta maendeleo zinazofanywa na Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Hapo pichani alikuwa akitambulishwa rasmi usiku na Msemaji wa chama cha CCM,Ndugu Pole.
Kufuatia uamuzi huo jimbo la Monduli liko wazi.
Mpekuzi.
Comments