Zari
The Bosslady amelamba shavu lingine baada ya kutangaza siku ya jana
kuwa anatarajia kwenda kuwa ajaji wa mashindano ya ulimbwende nchini
Uganda.
Zari amezidi kuthibitisha kuwa yeye ni mfanyabiashara na bosi kwani amekuwa akifanya kila jitihada ya kuingiza mkwanja.
Zari
anategemewa kuwa jaji mkuu wa shindano hilo litakalofanyika rasmi
tarehe kumi mwezi wa nane mwaka huu katika hoteli ya Sheraton Kampala
nchini Uganda.
Kupitia mtandao wa Instagram, waandaaji wa shindano hilo wamethibitisha hilo kwa kuandika,
"The
Miss Uganda beauty pageant is proud to announce its first patron and
judge for #Missug18 @zarithebosslady 💃💃. Miss Uganda is a celebration
of beauty with a purpose to inspire young women to succeed in life.”
"We
are also pleased to announce that she will also be a guest speaker at a
CSR (corporate social responsibility) activity targeted to young girls
organised by the #MissUgandaFoundation. The Miss Uganda pageant is
happening on the 10th of August 2018”.
Comments