Live Dr. Shein uzinduzi wa usajili wa biashara kwa kutumia mtandao wa kompyuta.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein anazindua usajili wa biashara kwa kutumia mtandao wa kompyuta katika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abduwakil - Kikwajuni Zanzibar .

Comments