Mwanadada
Wolper amemjibu msanii wa muziki Harmonize kwa kumwambia kuwa anaona
kama ameonewa kutokana na list hiyo aliyoitao yeye kuhusu idadi ya
wanaume aliowahi kutembea nao na kusema kuwa mbona kama list hiyo ni
ndogo sana.
Wolper
anasema kuwa kuna baadhi ya watu Harmonize amewasahau na kwake anaona
kama ameonewa kwa sababu hiyo sio idadi kamili ya wanaume aliyowahi kuwa
nao kabla ya kwake yeye , lakini pia wolper amemjibu kuwa kuna baadhi
ya wanaume ambao amewaweka kimakosa, kwaio kama anataka ni bora amfate
mwenywe ili ampe aliowasahau na pia ampe majina ya ukweli.
"Mwanaume
eeh mwanaume eeh hivi ule wimbo walioimba ni TMK, Embu tushushe
mistari kidogo, ya ile nyimbo ya wanaume eeh #listndogosanaumenionea
#alafukunawengineumekosea #njoodmnikupewaukweli
#basiyulewanyumanikajuanimmasaikumbemzungu.
Comments