MLINDA mlango wa Manchester United, David de Gea (27), anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mitano inayo wenye thamani ya pauni 350,000 kwa wiki. (Sun).
MAURICIO POCHETTINO
TOTTENHAM wanamatumiani kuwa meneja, Mauricio Pochettino na wachezaji sita wakuu watasaini makubaliano mapya katika miezi michache inayokuja. (Telegraph).

TOBY ALDERWEIRELD
KLABU ya Paris St-Germain ipo tayari kumpatia mlinzi wa Tottenham, Toby Alderweireld (29), mkataba anaoutaka wa pauni milioni 10 kwa kila msimu kwa miaka mitano wakati Mbelgiji huyo anatarajiwa kuondoka Spurs baada ya mazungumzo kuhusu makubaliano mapya kwisha. (Mail).

PEP GUARDIOLA
MENEJA wa Manchester City, Pep Guardiola, atakuwa na timu dhaifu dhidi ya Manchester United siku ya Jumamosi ambapo ushindi utawapa ubingwa wa England.(Express)

DEREK MCINNES
DAREK McInnes, Craig Shakespeare, Michael Appleton, Dean Smith na Graham Potter wapo katika orodha ya kuchaguliwa kuwa meneja wa West Brom katika majira ya joto. (Times).

ROMAN ABRAMOVICH
MMILIKI wa Chelsea, Roman Abramovich hajafurahishwa na klabu kukosa kucheza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya, lakini, anasita kumfuta kazi meneja, Antonio Conte ambaye amebakia na mwaka mmoja katika mkataba wake wenye thamani ya pauni milioni 9.5.

Lakini, miamba hiyo inakabiliwa na uwezekano wa kuwapoteza wachezaji tisa katika timu ya kwanza majira ya joto. (Telegraph).
MARCO ALONSO
MLINZI wa Hispania na Chelsea, Marcos Alonso (27), amesema, kuhangaika kwa timu yake msimu huu imesababishwa na wao kukosa ‘uendelevu’ na ‘bahati’ uliowasaidia awali kutwaa taji la England msimu uliopita. (Star).

FERRAN TORRES
LIVERPOOL wanamatumaini ya kumpata winga wa Valencia, Ferran Torres, ikiwa pia Chelsea wanamtaka kijana huyo mwenye umri wa miaka 18. (Mail).

WILFRIED KANON
KLABU ya Everton itatakiwa kukabiliana na klabu tatu za Hispania kama wakitaka kumpata mlinzi, Wilfried Kanon, kutoka Ivory Coast. (Sun).

JUPP HEYNCKES
MENEJA wa Bayern Munich,Jupp Heynckes,amesema, Real Madrid haina nafasi ya kumsaini mshambuliaji wa klabu hiyo ya Ujerumani mwenye umri wa miaka 29 raia Poland, Robert Lewandowski. (Marca).

MASSIMILIANO ALLEGRI
BOSI wa Juventus, Massimiliano Allegri,amesema, anafundisha nje ya Italia kwenye kibarua chake kijacho.(Telegraph).

Comments