Skip to main content
Breaking News: Rais Magufuli Atoa Msamaha Kwa Wafungwa 3319.
Rais
Magufuli katika kuadhimisha Miaka 54 ya Muungano wa Tanzania ametoa
msamaha kwa wafungwa 3,319 ambapo wafungwa 585 wataachiwa huru leo, na
2,734 wamepunguziwa adhabu zao.
Mpekuzi.
Comments