Wema Sepetu Azua Gumzo Baada ya Kujiachia Nusu Uchi.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Msanii wa Bongo Movies, Wema Sepetu amezua gumzo baada ya kuachia sehemu kubwa ya mwili wake live wakati akiogelea pamoja na kaka yake Diamond Platnumz, Rommy Jones.
Picha na kipande cha video kinachosambaa kwa kasi mitandaoni kinamuonesha Wema akikata mauno wakati wimbo wa Wowowoukipigwa
Comments