MANCHESTER United ndio wanaopigiwa upatu kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Juventus, Blaise Matuidi, katika msimu huu wa joto. (Star).
BRYAN CRISTANTE
WATFORD, Liverpool, Arsenal na West Ham wanamuwinda mchezaji wa kiungo cha kati wa Benfica, Bryan Cristante. Hata hivyo, raia huyo wa Italia anatarajiwa kwanza kukamilisha uhamisho kwenda Atalanta ambako kwa sasa yupo kwa mkopo. (Tuttosport, via Watford Observer).

PABLO DYBALA
KIUNGO wa mbele wa Argentina, Pablo Dybala (24), anayelengwa na Manchester United, Barcelona na Real Madrid, atasaini mkataba mpya wa miaka mitano na Juventus usiojumuisha kipengee cha lini atakapoachiwa. (Sun).

ABDOULAYE DOUCOURE
MANCHESTER United wanahamu
kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Watford mwenye umri wa miaka
25, Abdoulaye Doucoure, lakini wanakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka
kwa Liverpool, Tottenham na Arsenal. (Mirror).
PEP GUARDIOLA
MENEJA wa Manchester City, Pep Guardiola, ametilia uzito kumtafuta mrithi wa mchezaji wa kiungo cha kati raia wa Brazil, Fernandinho (32), katika msimu ujao wa joto. (Manchester Evening News).

ARSENE WENGER
MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger, hayupo tena katika orodha ya watu wanaowindwa na Paris St-Germain, kwa mujibu wa mwandishi wa michezo wa Ufaransa, Julien Laurens. (5 live Football Daily).

Comments