IMESIMULIWA NA DOKTA. MUNGWA KABILI
0744 000 473
Tukio hili lilitokea mwaka 1994 katika kijiji kimoja kilichopo katika mkoa mmoja uliopo magharibi mwa Tanzania.
CHANZO CHA KUBAKWA :
Chanzo
cha tukio hili ni usaliti ulio fanywa na binti huyo dhidi ya
mwanaume ambae aliwekeza muda, afya, mali na pesa zake kwa
mwanamke huyo mrembo akitumaini kuwa kwa kufanya hivyo atapata
nafasi ya kumuoa mwanamke huyo aliyetikisa kijiji kwa uzuri
wake lakini badala yake mwanamke huyo akaishia kumsaliti na
kutaka kuolewa na mwanaume mwingine.
HISTORIA FUPI YA BINTI HUYU NA JINSI ALIVYO INGIA KATIKA UHUSIANO NA MWANAUME WAKE WA KWANZA.
Binti
huyo mrembo alizaliwa mwaka 1975 katika kijiji kicho. Alianza
darasa la kwanza mwaka 1983 na kuhitimu darasa la saba mwaka
1989 akiwa na umri wa miaka kumi na nne.
Hakufanikiwa
kuchaguliwa kuendelea na masomo ya sekondari na wazazi wake
kwa kuwa hawakuwa na uwezo wakampeleka kwa shangazi yake aliye
kuwa anaishi wilayani ili aweze kujifunza kushona cherehani.
Hii ilikuwa ni mwanzoni kabisa mwa mwaka wa 1990.
Mwaka
1992 akiwa amesha hitimu mafunzo yake na sasa akawa anapata
uzoefu wa kazi ya kushona , binti huyo alikutana na kijana mmoja
na kuanzisha nae urafiki ulio zaa mapenzi na baadae uchumba.
Kijana huyu alikuwa na umri wa miaka thelathini. Alitoka katika kijiji jirani na anacho toka binti huyu.
Kijana
huyu alikuwa anajishughulisha na kilimo ambacho alikifanya
kijijini kwao na hapo senta alikuwa anajishughulisha na
biashara ya genge.
Kijana huyu ingawa hakuwa tajiri lakini pesa ya chakula ilikuwa haimpigi chenga.
KIJANA ANATAMBULISHWA NYUMBANI KWAO BINTI
Mwaka
1993 mwanzoni kijana huyu alienda kwao na huyo binti kwa
ajili ya kujitambulisha rasmi ambapo posa yake ilikubaliwa.
MAMA WA BINTI APATA MARADHI YA FIGO
Mwaka
1993 mwishoni, mama wa binti huyo aligundulika kuwa na maradhi ya
figo ambapo ilihitajika figo moja ili kuokoa uhai wa mama huyo.
MCHUMBA WA BINTI ANAJITOLEA KUTOA FIGO YAKE
Taarifa
za kuhitajika figo moja ili kuokoa maisha ya mama yake
zilimchanganya sana binti huyo kama zilivyo wachanganya wana
familia wengine.
Hawa
kuwa na budi Zaidi ya kufanya utaratibu ili mama yao apate figo
moja. Katika kufanikisha hilo, ndugu na jamaa wa mama wa binti
wakaanza kufanya utaratibu wa kutafuta mtu katika familia au ukoo
ambae anaweza kujitolea kutoa figo yake.
Jamaa yeye mwenyewe bila hata kuombwa na binti alimwambia binti kuwa yupo tayari kutoa figo kwa ajili ya mama ake.
Jambo
hili lilimshangaza sana binti na alipo ijulisha familia yake
walishangaa kuona upendo wa ajabu ulio onyeshwa na kijana huyo.
Taratibu
zikafanyika na ikaonekana kitaalamu kwamba figo ya jamaa inafaa,
basi jambo hilo likafanyika kwa mafanikio makubwa.
BINTI ANAPATA MCHUMBA MWINGINE
Katika
hali ya kushangaza, wakiwa bado katika uchumba, binti huyo
alikutana na mwanaume mwingine ambae alionekana kuwa na uwezo
mkubwa sana kuliko mchumba wa binti huyo.
Hii ilikuwa mwanzoni mwa mwezi wa Juni mwaka 1994.
Mwanaume
huyu mpya, alikuwa msomi, na mwenye uwezo mkubwa kifedha ambae
alikuwa anafanya kazi kwenye shirika moja la kimataifa ambalo
lilikuwa na ofisi yake katika wilaya kinacho patikana kijiji
alichoishi binti huyu.
Kwa
nguvu ya pesa aliyo kuwa nayo, jamaa aliweza kufanya mipango ya
kujitambulisha nyumbani kwao na binti haraka haraka na ikapangwa
siku rasmi ya kwenda kutoa mahari nyumbani kwao na binti.
JAMAA ANAPATA TAARIFA ZA BINTI KUPATA MCHUMBA MWINGINE ..
Familia
ya binti hawakutaka jambo hili lijulikane na mchumba wa binti
huyo hivyo walipanga kufanya jambo hilo haraka haraka na kwa
siri kubwa sana.
Lakini
hata hivyo, duniani hakuna siri ya watu wawili, wapo wasamaria
walio kuwa wanajua kuhusu uchumba kati ya binti na jamaa huyo
na ambao hawakufurahishwa na mpango wa familia ya binti
kumuozesha binti huyo kwa mwanaume mwingine, na hivyo kwenda
kumjulisha jamaa.
Jamaa
hakuamini na alichanganyikiwa sana na aliunganisha dot kati ya
maelezo aliyopewa na mabadiliko ya tabia na kimuonekano kutoka
kwa binti na familia ya binti.
Binti
alianza kuonekana akiwa anavaa mavazi mazuri kuliko kiasi cha
pesa alichokuwa anampa. Akapunguza heshima na mawasiliano kwa
jamaa. Baba na mama wa binti nao wakaanza kumbadilikia jamaa.
Kwa mfano alikuwa akiomba binti amsindikize mjini anakataliwa
bila sababu ya msingi, tofauti na ilivyo kuwa awali.
Pia akashangaa kumuona binti anauza duka kubwa bila kujua duka ni la nani, achilia mbali kumtaarifu jamaa.
Mambo haya yalimchanganya sana jamaa na kumuumiza moyo mno.
Mtu
mmoja wa karibu na jamaa akamwambia pengine binti na familia
yake wamekubadilikia kwa sababu unachelewesha ndoa, fanya mipango
ya ndoa haraka na bila shaka mambo yatakuwa mazuri kama zamani.
MPANGO WA JAMAA UNAKATALIWA NA BABA WA BINTI.
Jamaa
akamchukua mshenga wake, wakaenda hadi kwa baba wa mchumba
wake na kumueleza kwamba sasa anataka afanye mpango ili yeye
na binti huyo wafunge ndoa haraka iwezekanavyo lakini kwa
mshangao wake, baba wa binti akamwambia ngoja awashirikishe
wanandugu kwanza. Jambo hili lilimtia hasira sana jamaa.
TUKIO LA BINTI KUBAKWA NA SOKWE MTU.
Ilikuwa
ni mwezi Desemba 1994. Siku hii ilikuwa ni siku ambayo mwanaume
mpya, mshenga wake, baba ake, dada zake na baadhi ya ndugu zake
walikuwa wameenda nyumbani kwao na binti huyo kwa ajili ya kutoa
mahari rasmi.
Wakati
taratibu za kutambulishana zikiwa zinaendelea, lilitokea kundi
kubwa la sokwe mtu kutoka kwenye msitu wa miti uliokuwa karibu
na nyumba yao na huyo binti.
Kundi
hili la sokwe mtu wasio wa kawaida liliingia ndani hadi mahali
walipokuwa wamekaa familia za pande zote mbili yani upande wa
binti na upande wa mwanaume na kuzua taharuki kubwa.
Sokwe
mtu mmoja aliingia hadi mahali alipokuwa amekaa binti huyo,
akamshika na kutoka nae nje sehemu ya uwazi ambapo alimchania
nguo zake na kuanza kumbaka.
Binti
na wanafamilia walibaki wanapiga kelele za kuomba msaada lakini
kelele zao hazikumzuia sokwe mtu huyo kuendelea kumbaka binti
huyo.
Kelele za wanafamilia zili washtua wanakijiji ambao mamia kwa mamia walikuja katika eneo la tukio kuona kunani.
Walipofika
katika eneo la tukio walikuta sokwemtu akiwa anambaka binti huku
ndugu na jamaa wa binti huyo pamoja na ndugu na jamaa wa
mwanaume aliye taka kumtolea mahari binti huyo wakiwa wanajaribu
kupambana na sokwe huyo pamoja na sokwe wale wengine bila
mafanikio.
Wanakijiji
walivyo kuja wakaongeza nguvu na wazee wakimila wa kijiji na
kuanza kupambana na wale sokwemtu ambao walikimbia na kupotelea
msituni.
Wakati
huo huo sokwe aliyekuwa anambaka yule binti alikuwa tayari
ameshamaliza kufanya tendo na yeye akakimbia na kupotelea msituni
kimiujiza.
Binti
huyo ambae kwa wakati huo alikuwa anagaa gaa kwa maumivu
makali uwanjani hapo alichukuliwa na wazee wa kimila kwa ajili
ya kupewa huduma ya kwanza na kufanyia matambiko.
MATOKEO YAKE
·Yule
mwanaume aliekuja kumchumbia yule binti aliondoka na hakurudi
tena wala hakutaka kusikia chochote kuhusu mwanamke huyo.
Asingeweza kuishi na mwanamke ambae amebakwa na sokwemtu huku
yeye,wanafamilia yake na kijiji kizima wakishuhudia.
- Binti alijiua
- Familia ya nzima ya binti huyo ilinyanyapaliwa.
- Mama wa binti aliwehuka na kutoweka kijijini hapo
- Mdogo wa binti alikimbilia kwa shangazi yake kule wilayani lakini haikumchukua muda mrefu nay eye alijiua
- Baba wa binti aliwehuka na kufa miaka miwili baadae.
FUNZO
: USALITI KATIKA MAPENZI IWE UMEFANYWA NA MWANAMKE AU
MWANAUME NI MBAYA SANA, UNAWEZA KUKULETEA MADHARA MAKUBWA KAMA
MADHARA YALIYO ITOKEA FAMILIA YA BINTI HII.
CHANZO KIKUU CHA USALITI KATIKA MAPENZI NI TAMAA. WACHA TAMAA TAMAA MBAYA SANA.
Katika
siku zijazo nitaandika Makala nikielezea kwa kina jinsi
wachawi wanavyo weza kutengeneza sokwe mtu wa kichawi kwa kwa
ajili ya kuwatumia kulipa kisasi dhidi ya wasaliti katika
mapenzi pamoja na kinga ya kuzuia kudhuriwa na uchawi kama huu.
Comments